Maji magumu mara nyingi hayapewi uangalifu Zaidi kwa sababu tumezoea sana! Lakini, maji tunayoona kuwa “safi” yanaweza kuwa maji magumu ambayo yanaweza kuathiri maisha yako ya kila siku.
Maji Ngumu ni Nini?
Ni maji ambayo yana kalsiamu, magnesiamu na madini mengine mumunyifu mengi. Maji yanapotiririka kwenye udongo, miamba na chokaa, hukusanya chembe ndogo ndogo kabla ya kufika kwenye mabomba yetu. Wingi wa madini kwenye maji ndivyo maji yanakua magumu zaidi.
Lakini madini ni mazuri, sivyo? Ndiyo na hapana, kwa sababu wingi wa vitu kunaweza kuleta shida.
Kwa Nini Ni Mbaya Kwako?
Maji ngumu yana ladha mbaya – ina ladha ya chuma na kama unga unga. Mbali na hayo, hukausha nywele zako na kuifanya kuwa kavu na kukakamaa baada ya kuoga. Majimagumu hayashiki sabuni; kwa hiyo mwili wako unabaki mpauko wa sabuni hata baada ya kujissuza. Pia huziba vinyweleo vyako na kukausha ngozi yako, hivyo kuifanya iwe rahisi kupata matatizo ya ngozi kama vile ukurutu.
Pigo kubwa la maji ngumu, ni kwamba husababisha kuongezeka kuziba kwa vifaa vyako vya jikoni na mifumo wa uchujaji.
- Mabomba yako yatakuwa na mabaki meupe kwa sababu ya mkusanyiko wa chokaa
- Vyombo vyako itakuwa na madoa ambayo huwezi kuondoa
- Vyombo vyako vya glasi vitaonekana vichafu bila kujali utavisafisha mara ngapi
- Vifaa vyako vinavyotokana na maji kama vile mashine za kahawa na machine za kusaga vitakuwa na akiba ya chokaa
- Na unaweza kuingia gharama za juu za mara kwa mara za ukarabati.
Mapinduzi ya maji laini: Seti ya HomePure NovaSoft
Kulingana na utafiti wa zaidi ya miaka 10 kuhusu ubora wa maji duniani kote, HomePure ilitengeneza NovaSoft – Kifaa bora cha maji ambacho kinadhibiti ugumu wa maji ya bomba na kuyafanya kuwa laini kwa mchakato wa uchujaji maji, na kuyafanya yasisumbue vyombo vya maji. Imeoanishwa kwa ukamilifu na mfumo wa kuchuja wa HomePure Nova. HomePure NovaSoft hulainisha maji kabla ya kuyapitisha kwenye HomePure Nova ili kukupa maji safi, salama na yenye lishe nyumbani kwako.
HomePure NovaSoft Starter Set huleta manufaa mbalimbali kwa nyumba yako:
- Hulainisha Maji Yako
Hubadilisha maji magumu kuwa maji laini, na kuondoa ladha mbaya na mwonekano wa ukungu.
-
Hulinda Vifaa vyako na Mfumo wa Kuchuja
Kilainishi huzuia kujaa kwa kalsiamu na chokaa katika vifaa vyako vya jikoni na vile vile Mfumo wako wa Kuchuja Maji wa HomePure Nova, hivyo kuongeza uimara na kudumu muda mrefu.
-
Huongeza Urahisi
Kwa HomePure NovaSoft, hauhitaji umeme wala tank ya brine, na ni rahisi sana kufunga na kubadilisha cartridge.
-
Huondoa Uchafuzi wa Nje
Kilainishi huja kikiwa kimefunikwa kwa mchakato safi na salama wa kuchuja, bila kuacha nafasi ya vijidudu au wadudu kuchafua chujio lako la maji.
-
Huhakikisha Ubora wa Kiwango cha Kimataifa
HomePure NovaSoft Starter Set imeundwa kwa kutumia teknolojia ya Ulaya na kutengenezwa Korea Kusini. Fanya maamuzi ya kuchagua maji laini leo kwa sababu maji laini ya kunywa yaliyo salama, safi na yenye ladha nzuri ni hitaji la msingi.