Je Mandarin ndo lugha muhimu kwa sasa? Je bado kingereze ndio lugha rasmi ya biashara? Je lugha ya kihespania imepoteza umashuhuri kwenye daraja za lugha?
Jaji bado anaweza kuwa nje na lugha ipi ambayo inaweza kuwekwa kipaumbele na ipi isiwe. Lakini kwa nini uji wekee kikomo kujua lugha moja tu?
Katika dunia ya sasa ya utandadawazi, kuongea lugha zaidi ya moja inakufungulia dunia na matokea kuingizwa zaidi, kuelewa na hata tuzo za kifedha.
Hakika, kutoka kusaidia watu kupata ajira na vyeo na kukuza biashara, kujua lugha nyingi ni kifaa ambacho kinaleta faidi nyingi.
Na hilo kwenye akili, angalia hapa jinsi kuwa mtu anayeongea lugha tofauti anaweza kuendesha ujasiriamali kwa mafanikio na kufanya uwe muuzaji bora wa moja kwa moja.
Inahakikisha mawasiliano yenye ufanisi zaidi
Ukiwa unawasiliana na timu yako, kuendeleza mkakati wa mauzo au bidhaa za uuzaji mitandaoni,mawasiliano yenye ufanisi ni muhimu.
Kwa kweli, kusikia mjasiriamali mashuhuri kama Sir Richard Branson akieleza, mawasiliano ni ujuzi muhimu sana unao hitajika kwa wafanya biashara.
Ndivyo ilivyo, wajasiriamali na wauzaji bidhaa wa moja kwa moja ambao wanafanyakazi kwenye sehemu watu wanazo ongea lugha tofauti wanatakiwa kuzingatia jinsi ya kujifunza na kuongea lugha tofauti inaweza ikawafanya kuwa na mawasiliano bora.
Je una wasiwasi kwamba wanachama wa timu yako na wateja wako mara kwa mara wanashindwa kuelewa mawazo yako? Kuweza kuongea lugha tofauti kunaweza kukusaidia katika hilo daraja la lugha na utamaduni na kukufanya uweze kueleweka kwa kirahisi.
Kwa bahati nzuri, kama aumekusudia kuendeleza ujuzi wako wa kingereza, qlearn – ipo kozi ya Mawasilisho na kuandika, ilio tengenezwa maalumu kwa ajili ya kukusaidia kuwasilian vizuri zaidi,itakuweka kwenye muelekeo wa mafanikio.
Inakuruhusu kufikiria na kusimamia vyema
Akili ya ujasiriamali, sayansi ina tueleza,kwamba ik daima kazini na umakini wa kufikia malengo na kusimamia watu. Na ndio sababu unahitaji kuhakikisha hii muhimu zaidi ya viungo vyako viko salama na vyenye afya.
Wote tunajua kwamba kula vizuri na kupata kulala kwa kutosha itasaidia kwa wingi afya ya akili yako. Lakini madaktari wanasema jinsi moja wapo ya kuwa katika kilele chako cha kufikiri na usimamizi bora ni kusoma lugha mpya.
Fikiria jinsi mara kwa mara unaitwa kupambana na wateja wakati ukihitajika kutengeneza mipango ya biashara yako. Hivyo basi, imeonekana kuwa na kujua lugha tofauti inaweza kukusaidia sio tu kutatua matatizo kwa ufanisi zaidi lakini pia kuweza kupanga kwa ubora zaidi.
Inahimiza tija
Katika somo la kuongeza afya ya akili,moja kubwa ya pointi za uuzaji wa lugha tofauti ni jinsi inahimiza tija.
Utafiti umegundua kuwa watu amabao wanaweza kuzugumza katika lugha nyingi wanaweza kugeuza kati ya mawazo ya michakato kwa urahisi. Na pia, katika , inaweza siadia kuchuja habari zisizo na maana na kuweza kufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja.
Imetolewa, haifanyiki mara moja kwamba umesoma lugha mpya, kwamba wauzaji wa moja kwa moja wataweza kuongeza mauzo yao mara mbili au tatu ya juzuu na tume.
Hata hivyo, kuna ushahidi wa kutosha kuthibitisha kuwa uwezo wa kuongea lugha tofauti unaweza kufanya biashara nzuri na ustawi. Kwa wingi!
Inafungua soko kubwa
Kama kuna kitu kimoja kilicho kuwa cha kweli katika mawasiliano katika historia,ni kwamba lugha inaruhusu ufungua ukurasa mkubwa wa biashara.
Ktoka ugiriki na misri kwenda katika himaya ya kirumi,mafanikio ya kiuchumi yalikuwa yakiangaliwa kwa jinsi mtu anaweza je kujielezee kwa lugha nyingine au ya tofauti, idadi ya watu na mgawanyiko wa kitamaduni. Hata mafanikio ya Marco Polo yanachangiwa na uwezo wake mkubwa wa lugha tofauti.
Umeshafikiria kukuza au kuongeza mtandao wako kwenye utamaduni wa tofauti au soko la kimataifa? Dunia ilioendelea tunaishi kwenye fusra zisizohesabika kwa wauzaji wa moja kwa moja wenye ujuzi. Na kuwa na uwezo wa kuongea lugha tofauti kama mfanyabiashara mkubwa wa Venetian inaweza kukurushusu kupanua ufikiaji wako kwa ufanisi zaidi.
Jambo la msingi hapa ni kwamba ujasiriamali una nguvu zaidi kuliko hapo awali. Na jinsi moja wapo ya kuwa mbele ya mabadiliko nikuhakikisha zote mbili za kibinafsi na ukuwaji wa biashara nikugusa nguvu ya lugha.
UNAWEZA PIA KUPENDA