Elimu imebadilika kwa upesi sana katika miaka miwili ya nyuma.
Kutoka katika kuwa darasani uso kwa uso miaka ya elfu mbili na ishirini(2020), sasa tumekuwa dunia ya kidigitali ya video, kazi za nyumbani kwa video na utathmini wa mtandaoni ndio umekuwa wa kawaida.
Imetolewa,hata mamillioni wanao soma mazoezi ya viungo na uongozi bora na masoko ya haraka katika meza ya chakula ya familia, matatizo ya elimu ukosefu wa usawa unaoendelea.
Walakini, hatuwezi kataa shukrani kutokana na mabadiliko, elimu imekuwa rahisi kupatikana kwa watu walio sehemu za mbali zaidi.
Na hilo likiwa akilini,na katika muunganisho wa umoja wa mataifa’ siku ya kimataifa ya elimu tarehe 24 january, angalia hapa kwa ufupi historia ya kusoma na jinsi jamii imeendele kutoka katika mikwaruzo ya awali na michoro mpaka tulipo fikia.
Picha ukutani
Awali kubla ya elimu rasmi,binadamu walitumia michoro ya ukutani kama jinsi ya mawasiliano ya simulizi na fundisho.
Kwa usanifu zaidi,ile michoro – ilio andikwa au kuchorwa na rangi nyekundu au nyeusi na mara nyingi ya wanyama wa kutisha – inaaminika kuwa ya kidini zaidi katika asili zaidi ya mafundisho. Hata hivyo,michoro hiyo inaonyesha jinsi mwanadamu wa awali alikuwa na nia ya kutoa maarifa kama binaadamu wa sasa.
Cha kuvutia zaidi, wakati cha kipindi cha baadae kimeona wazazi na hatimaye, mwalimu mtaalam,anabeba zaidi uzito wa elimu wa/ya watoto,wanatafiti wanasema katika mikusanyo isiyosahilishawa ya jamii,watoto huwa wanajielimisha wenyewe kwa wenyewe.
Wakati wa darasa umewadia
Kama wanaadamu wa awali walivyo toka katika mapango na kujiwekeza katika muundo wa ustaarabu zaidi,na picha ikaipa njia maandishi, ikitokea uzito zaidi wa elimu ya rasmi. Hivyo , mpangilio wa kwanza kabisa wa kusoma uliopo Mesopotamia, Ugiriki na Misri.
Akaunti zinatafoutiana katika jinsi ya zilivyo na wapi shule ya kwanza ilipo anzishwa na nani alikuwa anawajibika nayo- wakati wengine wana mpa sifa mwanafalsafa wa ugiriki Pythagoras kama alie tambua au kuanzilisha chuo kikuu karibu miaka 510 BCE (kabla ya miaka ya kawaida),wakati wengine wanasema shule au vyuo zilikuwa tiari zimeanzishwa kabla hiyo ya Misri. Lakini kilicho wazi ni kwamba elimu au masomo katika enzi hizo zilikuwa zimehifadhiwa kwa ajili ya watu watabaka la juu.
Ustaarabu ulivyo ongezaka, kutoka Roma kwenda baghdadi, Vyuo vilianza kuwa vipengele maaarafu katika jamii. Kulikuwa na hata mifumo ya ngazi, sawa sawa na sasa, na katika wakati huo wa himaya za Roma na Byzantine.
Uchapishaji na Elimu kwa wengi
Kulikuwa na vitabu vilivyopo kabla ya mvubuzi wa Ujerumani na mchapishaji Johannes Guttenberg waliotokea katika tukio.
Wachina , walio vumbua karatasi, walikuwa wameeanza wakati mrefu zaidi vifungo na kusambaza makaburi. Bado Gutternburg’s uvumbuzi wa uchapishaji habari miaka karne ya 15 ili thibitisha mchezo uliobadilisha ghafla hiyo wingi wa unakili na uzalishaji wa vitabu.
Huu mlipuko mkubwa wa maarifa hauku athiri kwa haraka masomo,lakini. Wana historia wanasema ili tengeneza njia kwa ajili ya shule za kikristo za jumapili, shule za lazima na hatimaye, mapinduzi ya viwanda.
Mbinu mpya na vyombo vipya
Ukuwaji wa viwanda ulivyo enea barani ulaya katika karne ya 18, kusoma kulikuwa inaonekana kama kazi. Kama vile, nidhamu ilisisitizwa kwa ,na wanafunzi hawa kupewa chaguo katika nini waliweza au kutoweza soma.
Hata hivyo, karne zilivyo endelea na tabaka za watu tofauti zilisomeshwa, wazo la masomo likaanza kubadilika, hatua kwa hatua matokeo ya mtaala yaliongezeka na ongezeko la mda wa mchezo kwa wanafunzi ukaongezeka.
Muhimu , pia katika mabadiliko ya uvumbuzi kiteknolojia – kama televisheni ndio , na kompyuta na mtadao – ambayo imebadilisha jinis watu wanaona dunia kwa sasa.
Hatimaye ,matokeo yote haya haya kusababisha tu masomo ya umbali, lakini uwazi mkubwa wa kozi za mtandaoni ambazo zinaweza kuchukuliwa na wanafunzi kwa wakati usiokuwa mmoja.
Masomo ya kidigitali kwa wote na mahitaji yote ya kuhama
Leo, mtandao na maendeleo katika kasi ya ufikiaji imebadilisha jinsi elimu ina wasilishwa.
Na mabadiliko ya mahitaji ya jamii, kutokana na janga kubwa na mabadiliko ya mwenendo, imekuwa kifaa katika kutambua muundo wa programu pia nini na vipi wanafunzi kusoma.
Kwa mfano, wakati cheti cha mara kwa mara,diploma na shahada programu zinabaki maaraufu, kume kuwa na ongezeko la hitaji wa sifa ndogo – ufupi, programu maalumu – kuziba pengo la ujuzi katika viwanda fulani.
Kwa kifupi, zingatia uuzaji wa moja kwa moja na ujuzi anaohitaji mmoja kuendelea katika kitu fulani.
Ndio, shahada ya biashara inatampa mwakilishi huru wa nyakati za sasa wataalamu wa soko umuhimu wa kutulia. Lakini kama umuhimu utakuwa kusoma jinsi ya kutatua matatizo na uamuzi wa ufanisi juu ya jinsi ya kuwasilisha kwa utaalamu.
Ni kwa sababu hii wataalamu wa kujifunza mtadaoni kurasa kama qlearn, amabayo inawasilisha programu za hali ya juu zilizo tengenezwa na imeratibiwa kwa wafanya biashara maalumu, walio stawi.
Ni kwasababu hiyo kusoma ni zaidi kidemokrasia zaidi ya ilivyokuwa katika wakati wowote wa historia.
Mng’ao mkubwa mbeleni
Wakati utabiri kadha umefanyika, ni vigumu kusema kuwa baadae kutakuwa na nini kwenye mfumo wa masomo na kama itabadilika kwa kiasi kikubwa kutoka wakati uliopo.
Nini tunaweza sema kwa uthibitisho, ni kwamba historia ya elimu inaonesha binaadamu kuwa ni viumbe ambao wamekuwa thabiti katika msisitizo wa kusoma.
Na hii inamaanisha kuwa mabadiliko ya mwenendo, tutakuwa na hakika kutafuta njia yakutoa maarifa.