QNET imeshinda tena katika Tuzo za MENA Stevie 2022, na kukusanya tuzo ya shaba katika vipengele viwili muhimu. Katika kategoria za Tuzo ya Ubunifu, QNET walikuwa washindi wa tuzo ya shaba ya Stevie katika kitengo cha video cha wajibu wa Biashara kwa Jamii (CSR) pamoja na kitengo cha matumizi ya Mitandao ya kijamii. Haya ni maeneo mawili tunafanyia kazi kwa bidii sana kwani familia yetu ya QNET na wajibu wetu wa kijamii unabaki kuwa vipaumbele vyetu vya juu sana hapa QNET. Huu unakuwa ushindi wetu wa pili katika Tuzo za MENA Stevie baada ya kushinda dhahabu mwaka jana kwa Tuzo nyingi za QNET Mobile App.
Tuzo za MENA Stevie za 2022 ni nini?
Tuzo za MENA Stevie 2022 – ni marudio ya mwaka huu ya kikanda ya tuzo kuu za biashara duniani- Tuzo za Stevie. Wanatunuku ubora wa biashara katika mataifa 17 ya mashariki ya kati Afika Kaskazini.Mwaka huu, kulikuwa na waamuzi sita na jopo tofauti la wataalamu zaidi ya 110 wa kimataifa. Tuzo za MENA Stevie za 2022 zinafadhiliwa na chama cha wafanyabiashara na wenye viwanda cha Ras Al Khaimah, na hafla ya utoaji tuzo itafanyika katika Hoteli ya Waldorf Astoria huko Ras Al Khaimah, UAE.
QNET Inatambulika kwa kuwaweka Watu na Sayari juu ya Faida
Ingawa tulishinda tuzo ya shaba ya Stevies katika kategoria mbili tofauti – tulishinda zote mbili kwa kujitolea kwetu kwa maadali ya msingi wa QNET ya RYTHM – Raise Yourself To Mankind (JIINUE KUSAIDIA WANADAMU) Sehemu ya kinachofanya QNET ionekane kama kampuni inayouza moja kwa moja ni shughuli zetu zisizo na kikomo zinazolenga kuboresha jumuiya tunazofanyia kazi na kuiacha dunia kuwa mahali pazuri kuliko tulivyoipata. Utegemezi wetu wa kibinadamu umeng’aa katika kila nyanja ya biashara, ikiwa ni pamoja na mitandao yetu ya kijamii, bidhaa zetu na hata miradi yetu.
Ubunifu Katika Uwajibikaji wa Biashara kwa Jamii (CSR) Video
QNET ilionyesha uwezo wa binadamu kuja pamoja kusaidiana wakati wa mzozo. Hii ilinaswa kikamilifu katika QNET kuja pamoja kwa kesho|katika huduma wakati wa Janga la Covid-19 video. Majaji walio na wataalamu wa kimataifa walipiga kura kuipa QNET Tuzo ya Bronze Stevie kwa kazi yetu ya hisani katika jumuiya chini ya bendera ya RYTHM.
Ubunifu Katika Matumizi Ya Mitandao Ya Kijamii
QNET ilikuwa mshindi wa Bronze Stevie kwa #BottleSelfieChallenge yetu ambapo wasambazaji wa QNET sio tu walipiga picha za selfie na chupa zao za maji zinazoweza kutumika tena, lakini pia waliapa kutonunua au kutumia vinywaji vya chupa za plastiki vinavyotumiaka mara moja kidogo ili kupunguza uchafu wa plastiki.Zaidi ya watu 1000 duniani kote walishiriki na kusema #NoToPlastic. Mafanikio ya mpango huu wa uhamasishaji yatatambuliwa kibinafsi katika tuzo za 2022 za MENA Stevie.
Jiunge nasi katika kusherekea tuzo nyingine tena kwa QNET kwa kushiriki hii na marafiki na familia yako! Hongera kwetu sote.