QNET ni kampuni inayouza moja kwa moja ambayo inatoa bidhaa mbalimbali katika eneo la afya, ustawi, maisha na elimu kupitia jukwaa la biashara ya mtandaoni. Tunauza virutubisho, bidhaa za kutunza ngozi, bidhaa za utunzaji wa nyumbani, kozi za mtandaoni, vifurushi vya safiri, saa, vito na mengine mengi. Bidhaa za QNET zimeundwa kusaidia watu kuishi na kua na afya bora, Pamoja na kuboresha mtindo wao wa Maisha.